“
Helena: Debemos terminar. Tú eres un hombre peligroso.
Antonio: ¿Peligroso?
Helena: Tú eres de los que aman pues.
Antonio: Es ¿Qué acaso tú no quieres ser amada?
Helena selló sus labios, lo miró con sus ojos temblando, montó en su moto y se marchó.
Frase de "OLLANTAYTAMBO, Una historia de amor en las alturas
...more
”
―
―
“
Aidha, tunaweza kupata inkishafi kutokana na asili ya miili yetu, matukio fulani ya wakati ujao yana asili yake katika ndoto za binadamu. Ndoto hizo au maono hayo ni ishara ya kile kinachokuja mbele katika maisha ya mtu; kama vile afya, ugonjwa au hatari. Ukiota kuhusu moto, hiyo ni ishara ya hasira – unatakiwa kuwa na hekima; ukiota kuhusu mimba na unajifungua, hiyo ni ishara ya kuwa katika mchakato wa kutengeneza wazo jipya – unatakiwa kushukuru; ukiota unaruka angani, hiyo ni ishara ya tumain
...more
”
―
―
















