Aibu Quotes

Quotes tagged as "aibu" Showing 1-5 of 5
Enock Maregesi
“Wakati mwingine tukitaka kutambulika hatuna budi kuweka mbele aibu ya heshima yetu.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Ukitaka kutambulika usione aibu.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Hasanati ni matendo mema. Mema yanatoka kwa Mungu. Mabaya yanatoka kwa Shetani. Mke mwema anatoka kwa Mungu. Mke mbaya anatoka kwa Shetani. Mke mwema ana hekima na busara, ana maadili na tabia njema, ana utu na uchapakazi, ana wema na upendo, na ana aibu kwa wanaume.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Uovu ni aibu kwa taifa zima!”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Ukiajiri ndugu usimwonee aibu! Namna hiyo ajira yake haitaathiri nguvu ya mamlaka yako.”
Enock Maregesi