“Hapo basi - kijikeki. Kwa nini wewe upate kidogo? Sagamoyo ni kwenu, sherehe ni zenu, ufanisi ni wenu na keki kubwa ni ya kina nani?
Uhalisia wa mambo umekusibu; fungua macho uone. Keki ya uhuru imeliwa kwingine, mwaletewa masazo.”
―
Pauline Kea,
Kigogo