David’s Reviews > Neno: Biblia Takatifu: Agano La Kale Na Agano Jipya > Status Update

David
David is starting
Hapo Mose akamwabia Mungu, "Sasa, nikiwaenda Waisraeli na kuwaambia, 'Mungu wa baba zenu amenituma kwenu, nao wakiniuliza, 'Jina lake ni nani,' nitawaambia nini?" Mungu akamjibu, "MIMI NDIMI NILIYE. Waambie hivi watu wa Israeli: Yule anayeitwa, NDIMI NILIYE, amenituma kwenu." (Kut 3:13-14)
Jun 15, 2020 08:06PM
Neno: Biblia Takatifu: Agano La Kale Na Agano Jipya

flag

David’s Previous Updates

David
David is starting
Bwana Mwenyezi-Mungu asema,
“Siku zaja ambapo nitaleta njaa nchini.
Lakini sio njaa na kiu ya chakula na maji,
bali njaa ya kusikia maneno ya Mwenyezi-Mungu.”

Amosi 8:11
Jan 12, 2021 08:38AM
Neno: Biblia Takatifu: Agano La Kale Na Agano Jipya

David
David is starting
"Mwenyezi-Mungu hakuwapenda nyinyi na kuwateua kwa kuwa nyinyi ni wengi mno kuliko watu wengine; nyinyi mlikuwa wachache kuliko mataifa mengine duniani. Lakini ni kwa sababu Mwenyezi-Mungu anawapenda na anashika kiapo alichwaapia babu zenu, ndiyo maana aliwakoeni kwa nguvu zake huu na kuwaokoa toka utumwani, toka mikono ya Farao mfalme wa Misri." (Kumb 7:7-8)
Jul 25, 2020 02:38PM
Neno: Biblia Takatifu: Agano La Kale Na Agano Jipya

David
David is starting
‘Mwenyezi-Mungu alizungumza maneno haya yote, akasema, “Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, niliyekutoa nchini Misri, ambako ulikuwa mtumwa. Usiwe na miungu mingine ila Mimi.”’ (Kut 20:1-3)
Jul 25, 2020 02:28PM

Jul 11, 2020 02:02PM
Neno: Biblia Takatifu: Agano La Kale Na Agano Jipya

David
David is starting
Ikumbukeni siku hii mliyotoka nchini Misri ambako mikuwa mtumwa. Hii ndiyo siku Mwenyezi-Mungu alipowatoa humo kwa mkono wake wenye nguvu. (Kut 13:3)
Jun 23, 2020 07:15PM
Neno: Biblia Takatifu: Agano La Kale Na Agano Jipya

David
David is starting
“Mwenyezi-Mungu atawpigania; nyinyi mnachotakiwa kufanya ni kutulia tu.” (Kut 14:14)
Jun 21, 2020 07:17PM
Neno: Biblia Takatifu: Agano La Kale Na Agano Jipya

David
David is starting
Hapo Mwenyezi-Mungu akamleta Abramu nje na kumwambia, "Tazama mbinguni! Zihesabu nyota, kama kweli utaweza kuzihesabu! Hivyo ndivyo wazawa wako watakavyokuwa wengi!" Abramu akamwamini Mwenyezi-Mungu, naye Mwenyezi-Mungu akamkubali Abramu kuwa mwadilifu. (Mwa 15:5-6)
Jun 12, 2020 08:57PM
Neno: Biblia Takatifu: Agano La Kale Na Agano Jipya

David
David is starting
"Basi Mwenyezi-Mungu akamwambia Abramu, "Ondoka katika nchi yako, acha jamaa yako na nyumba wa baba yako, uende katika nchi nitakayokuonyesha. Nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, nitakubariki, na kulikuza jina lako, nawe uwe baraka." Mwa 12:1-2
Jun 11, 2020 07:03PM
Neno: Biblia Takatifu: Agano La Kale Na Agano Jipya

David
David is starting
“Hapo mwanzo, Mungu uliumba mbingu na dunia.” (Mwa. 1:1)
Jun 09, 2020 05:22PM
Neno: Biblia Takatifu: Agano La Kale Na Agano Jipya

No comments have been added yet.