“
Msamaha ni uamuzi wa makusudi wa kuachilia hisia za chuki au kisasi juu ya mtu au kikundi cha watu ambaye amekuumiza au ambacho kimekuumiza, bila kujali kama anastahili au kinastahili msamaha wako. Wataalamu wanaosoma au kufundisha msamaha huweka bayana ya kuwa, unaposamehe, hutakiwi kusitiri au kukana uzito wa kosa ulilofanyiwa. Msamaha haumaanishi kusahau wala haumaanishi kupuuza, au kujisingizia, makosa ambayo mtu amekufanyia au kikundi cha watu kimekufanyia. Ijapokuwa msamaha unaweza kusaidi
...more
”
―
―
“
MIDNIGHTS
Don't remember many midnights.
Forgotten some of my best insights.
Can't recall some of the highest heights.
But I've memorized you.
Don't remember many daybreaks.
How many sunrises have come as I lay awake.
Don't dwell on my worst mistakes.
But I always think of you
...more
”
― Daisy Jones & The Six
― Daisy Jones & The Six
















