Andika


Ancika: Dia yang Bersamaku Tahun 1995 (Dilan, #4)
Night Talks Before Go To Sleep
Samurai X - Petualangan Si Jago Pedang 1-28 (Rurouni Kenshin - Meiji Kenkaku Romantan, volume 1-28)
Prasangka & Konflik: Komunikasi Lintas Budaya Masyarakat Multikultur
Milea: Suara Dari Dilan ( Dilan, #3)
Karja Ki Hadjar Dewantara - Bagian Pertama: Pendidikan
Pusaran Amuk
Jodoh Dunia Akhirat
Tabir Nalar (Vandaria Saga)
Enock Maregesi
Soma sana. Andika sana. Ongea na watu kuhusu mambo ya muhimu unayoyafikiria. Tumia intaneti na maktaba kwa makini kwa ajili ya utafiti, kwa sababu habari nyingi za intaneti na maktaba haziaminiki. Kama una wazo kichwani mwako lizungumze kwa watu kama mazungumzo ya kawaida, ili upate maoni yao ya dhati, bila kusahau kuandika kwa siri wazo lolote jipya utakalolipata kutokana na mazungumzo hayo. Maana Mungu anaweza kuwasiliana na mtu mwingine yeyote yule akupe wazo, litakaloongeza maana zaidi katik ...more
Enock Maregesi