Jump to ratings and reviews
Rate this book

Vuta N'kuvute

Rate this book
Shafi Adam Shafi aliyeadika Kasri ya Mwinyi Fuad na Kuli, anainua kiwango na hadhi ya fasihi ya Kiswahili katika riwaya hii ya Vute N’kuvute.

Kwanza, kuna ndoa ya Yasmin, mtoto wa kihindi kwa Bwana Raza, mzee sawa na babu yake. Yasmin anafukuzwa na wazee wake kwa kumwacha Raza. Katika upweke wake, anasitiriwa na Mwajuma, shoga yake anayeishi ili kustarehe katika dansa, taarab na pegi za vikali. Yasmin anaingizwa uswahilini. Kuna wivu unaopelekea kifo cha Shibab, mume wa pili wa Yasmin. Kuna Denge, Yasmin anampenda lakini hapendeki. Kwa Denge ni mapambano na ukoloni tu na makachero wake. Hii ni vuta n’ kuvute ambayo sharti yeye na wenzake waishinde.

Kuna Bukheti. Kaja Unguja kumfuata Yasmin. Yasmin hakubali kuolewa na Bukheti kama hatashiriki katika kumtorosha Denge kutoka jela ya mkoloni alikofungwa. Mapenzi na mapinduzi. Yasmin naye kajitosa katika vuta n'kuvute hii ya kumpenda Denge na ya siasa. Kutoka katika kungojea wanaume waamue sudi yake; yeye naye sasa ni mtenda, si mtendewa tu.

Riwaya hii ilipata tuzo kwa mswada bora wa riwaya ya Kiswahili hata kabla ya kuchapishwa, kwenye Tamasha la Vitabu, Dar es Salaam kwa mwaka 1998. Hakiwekeki chini kitabu hiki; kitakuvuta na utakubali kikuvute. Ni kitabu kitakachozungumzwa kwa muda mrefu.

247 pages, Paperback

First published January 1, 1998

38 people are currently reading
303 people want to read

About the author

Shafi Adam Shafi

5 books16 followers

Ratings & Reviews

What do you think?
Rate this book

Friends & Following

Create a free account to discover what your friends think of this book!

Community Reviews

5 stars
45 (50%)
4 stars
16 (17%)
3 stars
11 (12%)
2 stars
9 (10%)
1 star
9 (10%)
Displaying 1 - 10 of 10 reviews
Profile Image for Larry Matoyo.
Author 2 books2 followers
July 26, 2021
A romantic drama with great potential, that is only failed by its muddled plot and unlikable characters. A let down for me.
1 review
Read
February 10, 2019
I't nice book
This entire review has been hidden because of spoilers.
1 review
mcharo
October 1, 2018
Good
This entire review has been hidden because of spoilers.
1 review
Read
January 12, 2019
amazing, i read this book almost 17 yrs back, still remember it, am looking for this book now to read it once again
Displaying 1 - 10 of 10 reviews

Can't find what you're looking for?

Get help and learn more about the design.